0
Rais atangaza hatua 6 zinazofuata baada ya ripoti ya Tume ya Uchunguzi
April 23, 2026
Posted 2 hours ago by
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza hatua kadhaa za haraka zitakazochukuliwa na serikali kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza baada ya kupokea ripoti hiyo, Rais Samia amesema hatua ya kwanza itakuwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano katika muda mfupi ujao, ambayo itajumuisha wadau mbalimbali muhimu kwa lengo la kusimamia majadiliano ya kitaifa na kurejesha mshikamano.
Kwa mujibu wa Rais Samia, tume hiyo itaongoza mchakato wa kuziba mianya ya migawanyiko iliyojitokeza na kuimarisha umoja wa kitaifa. “Nitoe wito kwa Watanzania wenzangu tuungane kwa [] The post Rais atangaza hatua 6 zinazofuata baada ya ripoti ya Tume ya Uchunguzi appeared first on SwahiliTimes.
SwahiliTimes
Coverage and analysis from Tanzania. All insights are generated by our AI narrative analysis engine.